Bango la mgombea ndani ya email

Bango la mgombea ndani ya email

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,441
Reaction score
653
Hii imekaaje wajemeni nikifungua email zangu nakutana na bango la mgombea la kijani? yahoo wamenunuliwa au ni machakachuzi ya tcra? Ina maana email zetu zinasomwa juu kwa juu bila ridhaa yetu? ni uzandiki gani huu?
 
Sijaelewa ngojanifungue yagu nikikutumi45 kuna ukija ni hata kwa mbali na funga ya huu
 
kachukulie tu kama ka''spam''
 
Niliwaambia subiri chama dume lianze kampeni, mtapotea!Hata chooni utakuta bandiko, kachungulie hata chini ya kitanda CCM tuko!
 
Kibaya chajiuza mpaka chooni mwaka mtayabandika mpaka baharini
 
LOWASA ANA MBINU BALAAA JANA CCM WALIPIGA KELELE MAJUNGU HADI MATUSI ILI WATENGENEZE HABARI MZEE KAWAJIBU KWA KUAMKA ASUBUH NA KWENDA GONGO LA MBOTO LEO VYOMBO VYA HABARI VINAZUNGUMZIA LOWASA KUPANDA DALADALA NA SIO MKUTANO WA CCM lowasa balaa kupanda daladala kwa lowasa imekuwa ndiyo discussion mjini na vijijini na sio sera za magufuli jana, 😃😃😃😃 kweli lowasa noooma watu washasahau kuhusu magufuli na kina mkapa wake leo siku nzima habari ni lowasa lowasa lowasa

Copied
 
Kama ni tcra basi wanatumia vibaya ofisi ya umma . Kama wafanyakazi wa serikali hawatakiwi kujihusisha na mambo ya siasa. Wao watumie pesa zetu kwa faida ya wa tanzania wote si kuwa upande. Hili la vyama vingi nafikiri liliondoa vyama vya siasa mahali pa kazi.
 
Hii imekaaje wajemeni nikifungua email zangu nakutana na bango la mgombea la kijani? yahoo wamenunuliwa au ni machakachuzi ya tcra? Ina maana email zetu zinasomwa juu kwa juu bila ridhaa yetu? ni uzandiki gani huu?

Huko yahoo unapotuma na kupokea email za bure unalipia shilingi ngapi? Kuna ada za mwezi ? Unajua wanajiendeshaje? Hilo tangazo uliloliona ni addsense adverts na mengine ni pay per click (PPC) sio uyaone tuu inabidi uyaclick kumsapoti huyo aliyekuwezesha kupata huduma za email bure.

Umoja Kamili wa Wapumbavu = UKAWA oyooooooooooooooooooooooooo Wapumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu (in Mkapa's Voice)
 
Mkuu hio ni kazi ya kampuni za matangazo pamoja na cookies, keywords n.k....

Kwahio yahoo kama yahoo inaweza kuuza space ya sehemu ya site yake kwa makampuni tofauti tofauti au wakauza keywords kwa makampuni au watu binafsi..

Sasa wewe ukiingia kwenye site fulani ukitumia keywords fulani matangazo ya hizo keyword yanakuja..., ila hapa sababu ni email huenda hakuna keywords, wanaweza kutumia location yako au cookies kwenye computer yako (unapenda kutembelea site zipi au unapenda vitu gani) hivyo matangazo yataendana na hizo preference zako (ukizingatia unapata email za bure basi hayo matangazo ndio angalau njia ya wenye chao kujipatia tupesa...)

Kwahio usishangae kama unapenda kutembelea site za kikubwa kesho ukiingia email ukakuta tangazo la viagra... (matangazo yapo catered kutoka na individual mwenyewe, kwa hili la CCM basi yapo catered kulingana na location )
 
lowasa ana mbinu balaaa jana ccm walipiga kelele majungu hadi matusi ili watengeneze habari mzee kawajibu kwa kuamka asubuh na kwenda gongo la mboto leo vyombo vya habari vinazungumzia lowasa kupanda daladala na sio mkutano wa ccm lowasa balaa kupanda daladala kwa lowasa imekuwa ndiyo discussion mjini na vijijini na sio sera za magufuli jana, 😃😃😃😃 kweli lowasa noooma watu washasahau kuhusu magufuli na kina mkapa wake leo siku nzima habari ni lowasa lowasa lowasa

copied
ndo nani?
 
LOWASA ANA MBINU BALAAA JANA CCM WALIPIGA KELELE MAJUNGU HADI MATUSI ILI WATENGENEZE HABARI MZEE KAWAJIBU KWA KUAMKA ASUBUH NA KWENDA GONGO LA MBOTO LEO VYOMBO VYA HABARI VINAZUNGUMZIA LOWASA KUPANDA DALADALA NA SIO MKUTANO WA CCM lowasa balaa kupanda daladala kwa lowasa imekuwa ndiyo discussion mjini na vijijini na sio sera za magufuli jana, 😃😃😃😃 kweli lowasa noooma watu washasahau kuhusu magufuli na kina mkapa wake leo siku nzima habari ni lowasa lowasa lowasa

Copied

Umoja Kamili wa Wapumbavu = UKAWA oyooooooooooooooooooooooooo Wapumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu (in Mkapa's Voice)
 
Hii imekaaje wajemeni nikifungua email zangu nakutana na bango la mgombea la kijani? yahoo wamenunuliwa au ni machakachuzi ya tcra? Ina maana email zetu zinasomwa juu kwa juu bila ridhaa yetu? ni uzandiki gani huu?

uwezo wako wa technolojia mdogo hadi unatia huruma.

nakushauri urudi kwenye SMS, na sanduku la posta huku digitali watakuchanganya tu.
 
Back
Top Bottom