anapendwa na mkeo na Regina na Sumaye
Lowasa Ni noma jamaa anapendwa Sana for sure
Lowasa Ni noma jamaa anapendwa Sana for sure
punguza kuvuta bangi kwani hujui online adverts??
Huko yahoo unapotuma na kupokea email za bure unalipia shilingi ngapi? Kuna ada za mwezi ? Unajua wanajiendeshaje? Hilo tangazo uliloliona ni addsense adverts na mengine ni pay per click (PPC) sio uyaone tuu inabidi uyaclick kumsapoti huyo aliyekuwezesha kupata huduma za email bure.
Umoja Kamili wa Wapumbavu = UKAWA oyooooooooooooooooooooooooo Wapumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu (in Mkapa's Voice)
upo sawa ila kunakoelekea nawao watajibiwa hivohivyoWalioishiwa hoja hukasirika na kutukana. Matokeo yake ni kupoteza mwelekeo. Hivi ukienda kutafuta riziki unahangaika kujua jirani yako ana fanya nini?
punguza kuvuta bangi kwani hujui online adverts??
Walioishiwa hoja hukasirika na kutukana. Matokeo yake ni kupoteza mwelekeo. Hivi ukienda kutafuta riziki unahangaika kujua jirani yako ana fanya nini?
Kama ni tcra basi wanatumia vibaya ofisi ya umma . Kama wafanyakazi wa serikali hawatakiwi kujihusisha na mambo ya siasa. Wao watumie pesa zetu kwa faida ya wa tanzania wote si kuwa upande. Hili la vyama vingi nafikiri liliondoa vyama vya siasa mahali pa kazi.
Hata wakifanya kampeni mtawafanyaje?