Bango hili Magogoni Ferry linaaibisha Polisi

Bango hili Magogoni Ferry linaaibisha Polisi

Myebusi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2022
Posts
671
Reaction score
1,552
Bango hili lipo kwenye Kituo cha Polisi Magogoni Ferry na limeandikwa na Polisi wenyewe.

Bango hili linawadhalilisheni na kuuweka bayana uwezo wenu mdogo wa kuandika.

20240201_072127.jpg

MALUFUKUKUTUPATAKATA HAPA |-> KA. KITUO CHA POLISI.

Àfande Chiku hebu liondoeni bango hili haraka sana.
 
Hawa Polisi hamna wanalijia isipokuwa kubambikiza kesi, kupora na uhalifu wa kila aina.
Polisi wamelaaniwa wakalaanika
 
Mkuu badala ya kupiga picha na kuifungulia thd JF, ungeingia hapo ofisini kwao na ukawaeleza face to face wangekushukuru sana na chai wangekupa ukanywa nao.
 
Back
Top Bottom