Ni kweli PakaJimmy. Kampuni hii ya kichina ama ina madharau au haijui kanuni za mabango ya ujenzi kwa mujibu wa CRBM au mamlaka ya ujenzi hapa Tanzania. Bango hili hapa limekaa kichizi sana!Mchina ni noma jamani!
Kuanzia Balozi wao hadi Makampuni yao ya ujenzi ni majanga!
Hapa ni kibao cha Ujenzi kilichowekwa eneo la Majengo Chini Arusha, ambapo kuna ujenzi wa barabara inayounganisha barabara ya Dodoma na ile ya Nairobi. Kampuni inayohusika inaitwa CRSG (China Railway Seventh Group)
alo andika ni kibarua wa kibongo jooooomba
hii ndio funga kazi kabisa!
Ni kweli PakaJimmy. Kampuni hii ya kichina ama ina madharau au haijui kanuni za mabango ya ujenzi kwa mujibu wa CRBM au mamlaka ya ujenzi hapa Tanzania. Bango hili hapa limekaa kichizi sana!
hii ndio funga kazi kabisa!