Umenikumbusha jamaa 1 wa Kigoma pale sinza. Aliropoka hivi, ye mutama Kigoma ni mji Dar ni kiboko baguza mpaka abazungu ye ye ye! Kuuliza maana yake nikaambiwa eti Kigoma ni mji ila dar ni kiboko wanauza hadi wazungu.
ha ha ha ha hii bangi uliyotumia ilikua ya wap