Bangi noma thana

Bangi noma thana

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
Jamaa wamekaa jumba bovu wanapuliza bangi,wakaishiwa kiberiti, si wakamtuma mwenzao akaombepopote, jamaa akazunguuka akatokea palepale akawaambia masela naombeni kiberiti na kwa sababu jamaa nao walikuwa wamekolea wakajibu, tumemtuma mshikaji kaa tumsubiri.
 
hiyo kweli noma. jamaa hata hawakumaizi kwamba ni mshikaji wao!
 
Inatishaaaaa kuona bang inavyowapeka Bangladesh......... watakomaaaaaa au watakoma!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom