kumbe tumeacha kujadili bangi tunajadili unga? kama haujui tofauti ya bangi na unga basi tuishie hapa mpaka utapojifunza!
hahahahaha...!tatizo lako hujui maana ya "TEJA"
Teja sio lazma awe wa unga,
uteja ni ile hali ya kuwa mtumiaji/mfuasi wa kitu flani kiasi kwamba umeshindwa/unashindwa kuacha,
ndio maana kuna mateja tofauti,
kuna teja wa mapenzi(hata JD aliimba)
teja wa bangi,unga,pombe,sigara n.k
kiswahili kipana sana!
Hahahaa, kiswahili kweli kinakua, basi mimi nilijua teja ni mla unga tu, hasa baada ya wewe kutoa mifano ya wabwia unga! Sasa nimekusoma mkuu wangu, mtu anaweza kuwa teja wa kanisa, teja wa kuswali, teja wa madem kama wewe n.k!
One Love!
bange kama inakupenda we endelea nayo tu and vice versa is true sasa unakuta kichwa panzi alijaribu ku-smoke ikamshinda akawa anarembua wanaume wakampakata sasa ana-dis.
Kuna weedcakes zinauzwa sh.buku kwa moja, nitamu kama keki zingine.
wapi mkuu?
Dah! Ngoja na mimi ni "nyonge" akili yangu manake nauamini "mkono" wangu zaid kwenye kutoa comment!
kupata facts ya bange kuharamishwa google tu utaelewa mbinu za CIA na babylon walipoona wanapoteza mapato hasa wale wakulima wakubwa wa mashamba ya tumbaku. Na ilianza kupigwa marufuku USA then wakaiweka kwenye propaganda na oganizesheni kama WHO na FAO zikaisambaza dunia nzima. Hakukuwa na strong reason wala evidence za kujustify kuwa bange ina madhara! Hadi leo hakuna huo utafiti wa kisayansi wa kuonesha madhara ya majani hayo. Ila sasa hivi kuna wanaharakati na wataalam wa afya wanaipigia chapuo irudi kwenye matumizi ya kawaida ya binadamu! Ila tatizo dhamira yao inawasuta kwa kufikiri nguvu kubwa waliyoitumia kuipiga vita ili hali wakijua haina madhara!
Wavuta bangi tuwe wakweli, bangi inalewesha na ukiitumia kwa muda mrefu unaharibu akili na nimeishashuhudia machizi wengi kwa kuvuta kwao bangi,mvuta bangi hadi macho yanabadilika na kuwa mekundu si kitu ya kawaida,we kama unaendelea kuvuta utakuwa umeisha dhurika ndio maana unamawazo ya hivi.wengi wanapoanza kuvuta wanaanza kuwakosea adabu wazazi na walimu,wanakuwa jeuri mno.pia wavuta sembe wengi wanatokea kwenye bangi.haifai kabisa mtaliongezea taifa janga lingine, si kila alichoumba mungu ni halali mbona sembe kaumba mungu lakini haifai na kuna majani mengi tu ambayo ni sumu kabisa ukivuta tu unakufa,kama unatakufa nitafute ,kwa nini yasipigwe marufuku kwa kuwa vijana wengi bado hawajajua madhara yake?
Moshi wa majani yoyote unaweza kufanya macho yawe mekundu, watu wanaovutia sehem ambazo hazina ventilation ya kutosha ni rahisi zaidi kuwa na macho mekundu. Ukaidi ni tabia ya mtu, mtu mkaidi akivuta bangi si bangi ndiyo inamletea ukaidi bali ni tabia, ni sawa na mtu asiye na heshima akinywa pombe anatukana ovyo! Bangi ina faida nyingi kuliko hasara!
Mi naomba kuuliza kwanini mvuta bangi anakuwa na macho mekundu pindi akilipuliza...hasa kitu kikali kama cha Uyui-tabora
fanatical law
enforcement sijui sabab ya kuiharamisha gomba had leo
me naongea kutokana na uzoefu na vuta at will na weza postpone ntakavyo hyo addiction umesema wew na mambo ya vitabuni hayo
mood zikiwa evil umeshasema mtu ni evil leave our gomba alone huyo alikuwa evil b4 na ataendelea kuwa evil after
madhara ya bangi ni zaid ya kumbukumbuku yataje hayo madhara?
Note: umepewa akili tumia sio kukubali kila unachosikia na kuambiwa fanya utafiti kwanza
Mkuu, kuna kitu kinachoongeza uhalifu zaidi ya Ukosefu wa Elimu, siasa fasi, utawala bora na ongezeko la umaskini?
Hayo madhara zaidi ungetufafanulia tuelewe, maana madaktari wabobezi wanatuambia the stuff is good na ni dawa ya mambo mengi, tena sigara ni hatari kuliko bangi sasa wewe unayesema otherwise ungekuja na scientific proof. Bangi is never adictive bro, mimi huwa navuta mara chache sana, na nikiamua kutovuta wala sina tatizo. Mkuu binafsi nimewahi kusmoke na high profile figures ambao huwezi kuamini, the weed is just great, nakushauri na wewe uonje kidogo, kama harufu inakusumbua jaribu kuchukua chungwa ulikate, kisha chukua kicontainer kisichopitisha hewa weka majani upande mmoja na vipande vya chungwa upande wa pili kisha funika overnight, kesho yake utasmoke kitu chenye radha murua na harufu ya chungwa, soooo nice!:tongue:
Kila mtu ana chaguzi zake maishani, na mimi nimechagua KUTOKUVUTA bangi - so try not convice me