Bangi hizi nyie acheni tu

Bangi hizi nyie acheni tu

duuuh!!cjui ni bangi ya mkoa gani hapa TZ?
 

Attachments

  • 1411435745132.jpg
    1411435745132.jpg
    7.6 KB · Views: 288
inawezekana mkuu .uliwai kitest kipindi kileeee!!!! utani tuu
 
Last edited by a moderator:
inawezekana mkuu .uliwai kitest kipindi kileeee!!!! utani tuu

Hahahaaa nilitest kweli kinondoni kufika mkwajuni nikatoka kwenye seat nikajificha chini ya steering
 
Last edited by a moderator:
haaahaa mwenzako nilisahau SANLG yangu mpak night ndio nikaibukia ilipo
 

Attachments

  • 1411437269623.jpg
    1411437269623.jpg
    18.3 KB · Views: 166
haaahaa mwenzako nilisahau SANLG yangu mpak night ndio nikaibukia ilipo

Hahahaaaa thanx gud morning to you too! Ule mmea sijui una nini unakuta MTU mzima kabisa akifika kwakwe anampa shikamoo mwanae mdogo
 
ule itakuwa umechangana madini ya cousin, heroin, na wazimu kidogooo .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom