Bangi bwana nakumbuka 1982 tukiwa Ukerewe jamaa yetu alipuliza kama stick mbili akaenda kulala chini ya mti si tukamwacha amelala mvua ikaja mvua aisee tulishangaa mtu anakimbia huku anapiga kelele kumuuliza tatizo nini eti MASHETANI yanamkojolea
Kuna dogo kitaa walimchukua kwa mara ya kwanza kwenda kupuliza anarudi dingi yake yuko barazani akawa anaima kuingia ndani, watu wote wanamshangaa walipomuuliza anasema mlango mdogo.
Ndiyo maana dogo (taifa la kesho) hapo juu anataka kujiua kwa carbon monoxide? Kwa kweli wauza unga na bangi wanawamaliza bila huruma. Ulimsikia Mungu wenu Chidi Benz anavyosema kuhusu haya madawa yanayowabangua? Shauri zenu.