zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Labda hawavuti, wanauza tu, si unajua tena maisha ya chuoni yalivo tight? lolhawa ndio viongozi wetu wa kesho!
Full bangi kichwani!
Labda hawavuti, wanauza tu, si unajua tena maisha ya chuoni yalivo tight? lol
Hivi bongo kupekua mtu process ikoje? Unahitaji hata warrant?
hawa ndio viongozi wetu wa kesho!
Full bangi kichwani!
Yea, ni lazima uwe na warant, kwa mujibu wa sheria. na shahidi awepo wakati wa ukaguzi, ikiwa ni pamopja na mkaguliwa kuanza kumpekua polisi atakayefanya upekuzi kabla hajaanza upekuziHivi bongo kupekua mtu process ikoje? Unahitaji hata warrant?
kama mkwerè
Kweli wananchi wamechoka hata heshima kidogo kwa kiongozi wa nchi hawana!! Hii ni ishara mbaya sana kwa usalama wa Taifa.
Kumbe ndio maana UDOM full migomo,bangi mbayaah! Sasa kama wasomi ni wavuta bangi mh! Nashindwa hata kutathini itakuwaje tukiwa ofisi.
Mwaka huu sapu zitaongezeka sana maana dili limestukiwa. kuna watu bila msokoto kitabu hakipandi ati!