Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Leo wakati natoka job narudi hm, njian nilikutana na kijana kama vile katoka kuvuta ile kitu(bange), aliponiona tu akasimama na kuanza kucheka sana baadaye akanyooshea kidole uelekeo wa mdomoni kwangu akaniambia "Broo domo lako kuuuubwa kuliko kichwa!!" akacheka zaidi,nilishangaa nilidhan kichaa fulani hivi...punde si punde akaanza kujishtukia "hee mbona napaa hivi nyie ni watoto au..?" akiwa na amaana tuliosimama karibu naye ni watoto maana alituona kama wafupi vile...tukamkimbia fasta