Internet imekuwa ni luxury na sio hitaji la msingi.
Dawa ni kufunga router, halotel ya elfu 70 unapata speed ya 10mbps, 95 elfu mb40 per second, tatizo ni huwezi kutembea nayo, ni mpaka uwe nyumbani, sisi wazee wa kuganga njaa, mihangaiko na misele mingi, mpaka urudi home, inakuwa haina thamani ya pesa, ila ukishinda home ni kitonga haswaaa.. Wanafamilia mnatumia, mnaunga kwenye tv yaani safi sana