[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahah sasa ile kauli ya mkuu wa kambi ya No retreat No surrender imeanza kupotezewa ehe
Na badoSasa mbona tunarudi kwa Jakaya kuwapigia Magoti Wakwepa kodi?
Alijua hata hao wafanyabiashara wakisepa haina Noma...Polisi na Makonda watainua uchumi.Siku zote Ubabe mfanyie masikini ila siyo mfanyabiashara mana unaweza lala bila kuvua viatu kwa kuchanganyikiwa..
UKAWA Tumeshinda![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huwa inaitwa 'leadership puberty'Ulikuwa ni ugeni kazini......tunaanza kuelewa kazi sasa.....
Tena Huyu ndiyo ataanguka vibaya sana.Nimechaguliwa na maskini! Siyo matajiri, nitagawa sukari bure zilizofichwa! Mhh leo hii! Mnawafata matajiri kimya kimya! Acheni kucheza na media punguzeni visasi huu mchezo hautaki hasira! Kitaa hamjakaa mtajuaje uchumi? Au uchumi wa kwenye karatas! Ingia kwenye game uone ndo utajua si kila 4+5=9!
Kufanya hivi ni upuuzi kiwango cha lami ni kutengeneza makundi, hivi hawa washauri wa bob wanatoka sayari ganiHii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
Chanzo:Star tv magazeti
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!
Naomba Mwenye Uwezo Awatag Wafuatao:
Lizabon,Wakudadavua,MsemajiMkweli,MOTOCHINI et al
Bado Na Tamko la Kuruhusu Mikutano ya Kisiasa na Shughuli za Kisiasa Kiujumla!Sasa mbona tunarudi kwa Jakaya kuwapigia Magoti Wakwepa kodi?
Ahahaha,Huwa inaitwa 'leadership puberty'
Weka wewe ya ukweliHii taarifa ni ya uongo
Hao waliyofutwa ni wadaiwa wa bandariHii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
Chanzo:Star tv magazeti
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!