Bandari ya Mombasa kuchukuliwa na China? Mtego wa mchina umenasa

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
542
649
Kama ilivyo kwa Zambia kukubali kuachia uwanja wake mkubwa wa taifa kwa kushindwa kulipa deni, Kenya pia inaweza kuingia mtego huu kwa kushindwa kulipa deni lake na haki-mufilisi inaangalia bandari kubwa ya Mombasa kuwa chini ya China

Has Kenya too fallen for China's debt trap?
 
Hivi wakishakuwa,makubaliano yanakuwa na baada ya muda gani ili wawarudishie wenyewe?
Nalog off
 
Ahsante sana miaka 100 ni mingi mno,nchi inabidi ijitutumue kuweza kuipunguza hiyo miaka
Nalog off
Inaweza isifike Mia hiyo miaka inatokana na kiasi ambacho bandari inaingiza (mapato) kufidia hilo deni mpaka liishe. Kama mapato ni kidogo bhas lazima itachukua miaka mingi kulipa deni lote ila kama mapato ni makubwa bhas deni halitachukua muda mrefu sana kumalizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na uwezo wa kitegauchumi chenyewe,mfano wanawadai 10t halafu bandari inaingiza 600bln ni muda mfupi tu watairudisha.

Ila ukopaji wa mtindo huu haitakiwi.
 
Uko sahihi
Inaweza isifike Mia hiyo miaka inatokana na kiasi ambacho bandari inaingiza (mapato) kufidia hilo deni mpaka liishe. Kama mapato ni kidogo bhas lazima itachukua miaka mingi kulipa deni lote ila kama mapato ni makubwa bhas deni halitachukua muda mrefu sana kumalizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUO
 
Afu usikute viongozi waliokopa wameishia kuhonga vimada wao na kwenda nao Dubai kula bata kisha deni linaishia kulipwa na walala hoi
 
Back
Top Bottom