Asante mkuu, bado sijasaini mkatakaba mkuu, kwa sasa nina ajira yangu nyingine naendelea nayo nikishauona mkataba wao wa kazi ndio nitafanya maamuzi ya kujoini nao au kudecline their offer,
Hahah kwahiyo unataka uchungulie mshahara kwanza au sio?Asante mkuu, bado sijasaini mkatakaba mkuu, kwa sasa nina ajira yangu nyingine naendelea nayo nikishauona mkataba wao wa kazi ndio nitafanya maamuzi ya kujoini nao au kudecline their offer...
Mkuu. Bila kujali mshahara, wewe kajitupe tu huko serikalini ukastaafie huko. Huku private ni full manyanyaso... Hukohuko Bandarini unaweza kupanda cheo na maslahi yakawa bora zaidi siku za usoni!Hahah kwahio unataka uchungulie mshahara kwanza au sio?
Sijatumwa na mtu yeyote mkuu,Watu hawatangazi kazi waliyopata. Ninaamini umetumwa kuwaaminisha watu kuwa mchakato ulikwenda bila upendeleo. Hilo ndio lengo lako kuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway hongera sana.Asante mkuu, bado sijasaini mkatakaba mkuu, kwa sasa nina ajira yangu nyingine naendelea nayo nikishauona mkataba wao wa kazi ndio nitafanya maamuzi ya kujoini nao au kudecline their offer...
Safi sanaAsante mkuu, bado sijasaini mkatakaba mkuu, kwa sasa nina ajira yangu nyingine naendelea nayo nikishauona mkataba wao wa kazi ndio nitafanya maamuzi ya kujoini nao au kudecline their offer...
Zaidi ya barua ya kuitwa kazini mkataba sahau tuna kitambo hapa hatuna hiyo mikataba.Kwa waliofanya oral na sekretarieti ya ajira
waliofaulu wanapigiwa simu na ma hr wa TPA na kutakiwa kwenda
kuripoti kazini Jumatatu 25/03/2019.
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kupata ajira TPA
kusema kweli mchakato ni wa haki simjui mtu wala sikuhonga chochote sekretarieti ya ajira.
Hongereni kwa walifanikiwa kupigiwa simu na kwa ambao hawakufanikiwa niwaambie waendelee kustruggle na kumuomba Mungu ipo siku mambo yatakuwa vile wanategemea
Mimi ni shahidi namba mbili baada ya mtoa mada. Nimefanya interview 3 kupitia sekretarieti ya ajira. Hanijui mtu wala sina hata jamaa huko ila interview ya 3 nikapata ajira. Tulikua candidates 1200+ nafasi 23. Tukafanya interview 3, written, practical na oral.Shukuru Mungu umepata tu hayo maneno menginē eti mchakato wa haki sijui sikuhonga achana nayò
Mbona povu. Jiwe limekufika.Sijatumwa na mtu yeyote mkuu,
Ninatoa taarifa tu ya mchakato wa ajira hizo kwani hata huku JF taarifa za ajira hizo zilifika.
Kimsingi unifahamu,sikufahamu sio jina langu ni ID Feck....
Washukuru sana UTUMISHI,lakini ngoma ingepitia TPA kazi usingeipata.Kwa waliofanya oral na sekretarieti ya ajira
waliofaulu wanapigiwa simu na ma hr wa TPA na kutakiwa kwenda...