mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Naomba kujua size ya mbao za bandalling na bei
Naomba kujua size ya mbao za bandalling na bei
mbao za blandaling unaweza kutumia 2 by 2 ama 3 by 3 ww tuu ila mara nyingi zinatumika sana 2by2 pia kaz hio nicheki mkuu kama upo fresh kaz zetu hizoNaomba kujua size ya mbao za bandalling na bei
Uwa ni brandering badala ya bandalling au blandaling.mbao za blandaling unaweza kutumia 2 by 2 ama 3 by 3 ww tuu ila mara nyingi zinatumika sana 2by2 pia kaz hio nicheki mkuu kama upo fresh kaz zetu hizo
Uwa ni brandering badala ya bandalling au blandaling.
Hapana mkuu. Ni brandering kama nilivyoandika. Blundering unayosema wewe ina maana tofauti kabisa. Tukirudi kwa mleta hoja bei ya mbao za brandering kama ni 2 x 2 mwanzoni mwa mwaka huu ilikuwa ni 4,000/= kwa ubao mmoja wenye urefu wa wastani wa futi 12.Blundering
Hapana mkuu. Ni brandering kama nilivyoandika. Blundering unayosema wewe ina maana tofauti kabisa. Tukirudi kwa mleta hoja bei ya mbao za brandering kama ni 2 x 2 mwanzoni mwa mwaka huu ilikuwa ni 4,000/= kwa ubao mmoja wenye urefu wa wastani wa futi 12.
Nipe deal ya kukuuzia mbao hiyo kiongozi. Kama upo dsm manispaa ya ubungo lakini. Bei nafanya fair kabisa iseeNaomba kujua size ya mbao za bandalling na bei
Dudu treated au za kawaida. Nataka za dawa.Nipe deal ya kukuuzia mbao hiyo kiongozi. Kama upo dsm manispaa ya ubungo lakini. Bei nafanya fair kabisa isee