ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
amalize wapi ndugu yangu yani kaka yangu yule aishi kuwekwa rokapu
tokana na maneno yake ya kujiamini amini hapa mjengoni
tokana na maneno yake ya kujiamini amini hapa mjengoni
Dady is back... don't worry..
Daddy nlitaka kumtoa mtu koromeo
Daddy nlitaka kumtoa mtu koromeo
umerudi tena karibu yaani nilikukumbuka ile mbaya
afuu anapiga karateka sasa.....
Thanks... nipo kwa nyumba..
Usihofu kaka tumekusikia na mpe pole kwa ban iliyomkuta,Mkuu Baba V hongera umerudi kumbe?
Salaam hizi ziwafikie ; Mamndenyi, Chrisi lukosi et al Arushaone, Lady doctor, Washawasha mwallu, mwana mpotevu Smile, sungura1980 utafiti Kaizer kabanga na shansarie
Usihofu kaka tumekusikia na mpe pole kwa ban iliyomkuta,
Nalog off
upo mkuu?
afu wewe...
nimefanyaje tena?