Ban ya Baba V kuna nini?

Ban ya Baba V kuna nini?

Mkuu utafiti huwezi kutafiti Baba V kafungiwa mara ngapi hadi sasa?Na watu wangapi hadi sasa wamepata ban?Na kwa makosa yapi hasa yanaongoza kwa kusababisha ban?Maana huku mtaani kuna umbeya eti ukimuandika vibaya hata kama ni ukweli yule mbunge wa mahakama(zzk) basi ban inakuhusu ni ya kweli?

Hhahhaa mkuu utafiti unaonyesha jukwaa la siasa ndio linaongoza kwa ban...kaa mbali nalo
 
Last edited by a moderator:
Baba V ni bingwa wa kulambwa BAN...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom