Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 849
- 103
Tatizo ni nini?Hivi una akili nzuri wewe na unaelewa unachokisema? UKIWA SHABIKI WA KIKWETE BASI HATA AKILI YAKO INA KUWA KIKWETE KIKWETE HIVI.(Maana ya kikwete, ni mtu mvivu kufikiri)
Kwani wewe nini?Tatizo ni nini?
Hivi una akili nzuri wewe na unaelewa unachokisema? UKIWA SHABIKI WA KIKWETE BASI HATA AKILI YAKO INA KUWA KIKWETE KIKWETE HIVI.(Maana ya kikwete, ni mtu mvivu kufikiri)
"mfano wa kuigwa Barani Afrika katika kutekeleza na kuendeleza malengo ya Umoja wa Mataifa. Hususani amani na usalama Duniani".
Nildhani anampongeza kwa uchumi imara,elimu bora,kilimo cha kisasa,industrialization etc
Kama ni suala la amani indirectly anampongeza hayati Baba wa taifa ambaye aliiweka misingi ya amani kwa kuwaunganisha 120 ethnic groups
Nakumbuka NARC ya kenya ilipokuwa pinzani ilishirikiana na wapinzani wa tz. Waliposhika madaraka waliambatana na ccm. Sioni ajabu kwa moon kumtakia kikwete kila la heri maana amezingatia itifaki . Ingekuwa kamaliza miaka 10 halafu moon akamuwish mgombea wa ccm hapo tungemwona juha.