Bamia ni muhimu wadada wenzangu!

Hii mada ya kinyege nyege.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nzuri sana aisee. Kwa kiafya na utelezi... kama unaweza kuloweka usiku halaf unakunywa asubuhi kwenye tumbo tupu fanya hivyo.
Kama unaweza pika kama mlenda do that.. achana na madawa yasiyofaa sijui bublish mara vipipi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960] Upo mkuu?
Nipo rafiki yangu , nashukuru sana nimemtumia tayari huyu tunayetakiwa kukutanisha viungo kesho , nimemtumia whatsap eti kajibu hivi

"Noted "

Sasa nawaza atafanyia kazi au ndiy atakuwa kahisi nimemdharau sijui [emoji848]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣Yupo seriously sana aisee
 
Unachanganyaje ili uweze kunawia?
 
Bamia na papuchi utelezi havina ....uhusiano

Acha kutudanganya hapa wewe single mother
Ni kweli. Hata kwa mwanaume akitumia ina faida sana. Inatoa ile hali ya uchovu sana. Inaongeza ute ute unatoka kabla ya manii, kwa wale waliojichua muda mrefu hii kitu inasaidia sana kwao kwa kuwaondolea ile hali ya kuumwa kichwa baada ya kufanya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…