Bamia kubwa zipo ndugu zangu

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Nimekuwa nikisikia jukwaani vibamia vibamia, nilijua bamia zote ni ndogo, msemo huu sasa upo proved wrong, bamia kubwa zipo, jana katika pita pita zangu sokoni nimekutana na Bamia kubwa kubwa sana, nadhani huu msemo sasa hauna maana tena, tutafute jina lingine.
 
Hii nayo ni thread inayotakiwa kuchangiwa?
 
Msiwabanie waacheni wajitetee bhanaa
 

vibamia ni vidogo mkuu,hujui kiswahili???

kibamia-kidogo
bamia-kawaida
LIBAMIA kubwa

kwahio ukisikia kibamia ni kidogo.
 
mmetuchosha ni hivi vitopic vyenu, kila mtu ana u.b.o.o. wake! kama wako ni mdogo so what? kama wako size ya kati so what? kama wako mrefu so what?
 
vibamia ni vidogo mkuu,hujui kiswahili???

kibamia-kidogo
bamia-kawaida
LIBAMIA kubwa

kwahio ukisikia kibamia ni kidogo.

basi mimi nikajua ni general kuwa bamia zote ni ndogo, sasa kwa nini wakachagua bamia si ndizi, maana pia kuna vindizi.
 
mmetuchosha ni hivi vitopic vyenu, kila mtu ana u.b.o.o. wake! kama wako ni mdogo so what? kama wako size ya kati so what? kama wako mrefu so what?

akili yako asubuhi hii ndio inachowaza. watu wanazungumzia bamia hapa.
 
Ilimradi wewe ni mwanaume na unasimama na pia unauwezo wa kuingia na kutoka na mwanamke akafurahi hiyo yote mshukuru Mungu,kuna wengine walikuwa na uume na vimekatwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…