Za asubuhi kiongozi
Nzuri kabisa kaka ila mimi sio sikukuu yangu....
Hahahaha ila tatizo hakuna siku ya wanafunzi wala siku ya wafanyabiashara. Wafanyakazi na wakulima ndo wanajulikana bana sie wengine tusio kwenye ajira tumetupwa mbali
Ndo hapo mkuu, hii dunia haijui kama wengine si wafanyakazi? Mbona kuna watu hawajapangiwa sikukuu?
Tuunge maandamano mkuu kudai haki yetu. Pia kuwe na siku ya wanaume mbona kuna siku ya wanawake na sisi wanaume tukae tujadili mambo yetu namna ya kudumisha mfumo dume
Asiione binti yako miss chagga
Tized anamajonzi jana atletico kamliza