Bambataa

Bambataa

Mbona kama hiyo suruali haimtoshi? Au ni makusudi?
 
Duh jamani mbona mwatutega, nimeliona hili zigo sehemu fulani leo. Eeeh mwafrika shurti awe na pa kushikilia ebo
 
Nakubali kabisa kwamba bei ya kondoo huanzi MKIANI.:lol:
 
ponstar. Income yake kwa mwezi kama mshahara wa chief executive officer wa benki ya kibongo
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kitu wajamameni kinapatikana wapi
 
duh! nilikuwa nishasahau hilo jina.bambataa!! Imo lakini.
 
Back
Top Bottom