Bam International Company

babo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
194
Reaction score
23
Wadau wa jf naombeni mnijuz kwa ambae anafaham vizur hiyo kampun ya ujenz iliyop uwanja wa wa ndege mwalimu nyerere,kazi zake rasim zinaanza lini,make tumetuma maombi yetu tangu mwezi wa kwanza mpaka leo lakin sijapat hata kuona watu wakiitwa kufanya kaz,au ndo changa la macho
 

Inawezekana changa la macho. Nakushauri ukapeleke tena maombi, maana kuna uwezekano mkubwa hapo katikatiki viliingia vimemo vingi vya wakubwa. Usichoke kupeleka maombi so long you have that ZEAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…