EMTBalozi wa Zambia Tanzania amesema yule mtu aliyekutwa amefariki kwenye chumba cha hoteli ya Southern Sun baada ya kuhudhuria sherehe ya harusi ni Mzambia. Katika tukio hilo watu wengine wawili waliokuwa wana share chumba kimoja na marehemu walikutwa wakiwa katika hali mbaya. Polisi wamedai walikuwa wamekunywa mno.
Hata hvyo, balozi amesema haelewi ni kwa nini mwili wa marehemu Baster Bahadulu ulichukuliwa Muhimbili na watu waliodai kuwa ni ndugu zake kinyume na taratibu. Hajui kama marehemu alikuwa anaishi hapa nchini na hajapokea taarifa yoyote kwa ndugu wa marehemu hata pale walipoenda kuuchukua mwili wa marehemu Muhimbili.
Jana RPC wa Ilala alisema walionusurika kwenye hilo tukio wako huru na hawatachunguzwa. Hata hivyo, balozi analalamika kwa nini hawajafanyiwa uchunguzi juu ya kifo cha mwenzao ikizingatiwa kuwa wote walikuwa wamelala kwenye chumba kimoja. Marehemu alikuwa Mzambia na alikuja Tanzania mwezi uliopita kwa shughuli za kibiashara. Wawili kati ya hao wawili walionusurika, mmoja ni mwanamuziki na mwingine mfanyabiasha. Wote ni raia wa Uingereza, lakini mmoja wao ana asili ya Kizambia.
Lukuvi, Ndugai, na Zombe wasome huu mkorogo. Inakuwaje mtu anakufa lakini wale waliokuwa nae hawahojiwi kuhusu kifo cha mwenzao? Only in Tanzania!
sasa hapa imekuwaje?
au kwa sababu wahusika ni raia wa uingereza?
polisi wana shindwa mahojiano na hao watu? waweke wakalimani
EMT
Hatujaanza leo kuwaachia "wakubwa/vigogo" or their associates..... unakumbuka issue ya mbwa kubaka binti wa kihehe? je umesahau issue ya yule changu aliyeuwawa na mwanajeshi wa Uk?? vipi yule dogo aliyeuwawa pale nyumba za mawaziri kijitonyama/victoria na mambo tiiii??
Kuna kigogo aliua mtu shambani kwake kimara (tena anahusiana na hiyo harusi.... etc
tuna clique iliyo juu ya sheria zote za jamhuri
Hao jamaa walikunywa, wakavuta halafu wakasuguana na sasa mmoja kafa\
anywau, yote ya shetani tu hayo

Kama kigezo kilikuwa ni lugha, itakuwa na maana kuwa mtu anaweza kuja Tanzania na kufanya kosa so long haongezi Kiswahili.
Lukuvi, Ndugai, na Zombe wasome huu mkorogo. Inakuwaje mtu anakufa lakini wale waliokuwa nae hawahojiwi kuhusu kifo cha mwenzao? Only in Tanzania!
Hivyo kweli unafikiri hawakutakiwa kutowa maelezo? Na iwapo maelezo na matokeo yanaonyeasha kuwa ulevi ndio kilichowasibu wote kwa pamoja panakuwa na haja ya uchunguzi zaidi? Nafikiri si vizuri kulizarau Polisi kama hivyo! Huyo Balozi anachunga unga wake tu hivyo Wazambia wote wanaokuja Tanzania hupiga ripoti ubalozini? Nikihisi kuwa kule ni sehemu ya kufata huduma inapohitajiwa na kwa kadhia yenyewe ya kuja kunywa pombe hiyo huduma ya kufatiwa haikuwepo.

Mkuu kiingereza ni janga la taifa tena polisi usiseme,watawahoji vipi bora waseme hamna kesi kuficha aibu.Nimeshuhudia trafiki akimwachia mzungu aliyepita rangi nyekundu kisa lugha na kuniachia mimi nilieshuhudia kwa aibu.
Balozi wa Zambia Tanzania amesema yule mtu aliyekutwa amefariki kwenye chumba cha hoteli ya Southern Sun baada ya kuhudhuria sherehe ya harusi ni Mzambia. Katika tukio hilo watu wengine wawili waliokuwa wana share chumba kimoja na marehemu walikutwa wakiwa katika hali mbaya. Polisi wamedai walikuwa wamekunywa mno.
Hata hvyo, balozi amesema haelewi ni kwa nini mwili wa marehemu Baster Bahadulu ulichukuliwa Muhimbili na watu waliodai kuwa ni ndugu zake kinyume na taratibu. Hajui kama marehemu alikuwa anaishi hapa nchini na hajapokea taarifa yoyote kwa ndugu wa marehemu hata pale walipoenda kuuchukua mwili wa marehemu Muhimbili.
Jana RPC wa Ilala alisema walionusurika kwenye hilo tukio wako huru na hawatachunguzwa. Hata hivyo, balozi analalamika kwa nini hawajafanyiwa uchunguzi juu ya kifo cha mwenzao ikizingatiwa kuwa wote walikuwa wamelala kwenye chumba kimoja. Marehemu alikuwa Mzambia na alikuja Tanzania mwezi uliopita kwa shughuli za kibiashara. Wawili walionusurika, mmoja ni mwanamuziki na mwingine mfanyabiasha. Wote ni raia wa Uingereza, lakini mmoja wao ana asili ya Kizambia.