Balozi wa Marekani anajua Kiswahili?

Balozi wa Marekani anajua Kiswahili?

Watu wengi wakija Tz wanajifunza Kiswahili maana kama mtu una kazi Tanzania mwaka mmoja lazima utahitaji interaction na wenyeji
 
Kwenye hii video Rais anaonekana akizungumza na Balozi wa Marekani [sina hakika kama ndiye balozi kamili au la].

Rais anazungumza Kiswahili [hakuna ubaya kwenye hilo. Kiswahili nacho ni lugha tu].

Ila, sikuona wala kusikia mkalimani.

Huyo Mama anajua kweli Kiswahili?

Anakijua vizuri sana. Aliwahi kuongea/kuhutubia katika event ambayo mimi nilikuwepo na kumsikiliza moja kwa moja. Si unajua inawezekana ni wale majamaa wa Langley, Virginia so inawezekana alijifunza siku nyingi sana. Ana sura ya kikorea (Asian)-unganisha nukta.
 
Kwenye hii video Rais anaonekana akizungumza na Balozi wa Marekani [sina hakika kama ndiye balozi kamili au la].

Rais anazungumza Kiswahili [hakuna ubaya kwenye hilo. Kiswahili nacho ni lugha tu].

Ila, sikuona wala kusikia mkalimani.

Huyo Mama anajua kweli Kiswahili?

Huyu balozi anajua kiswahili mkuu,na hutuba zake nyingi anazitoa kwa kiswahili
 
Marekani hawana balozi Tanzania, Tokea trump angie madarakani hajateua balozi wa marekani Tanzania, huyo mama sio balozi
 
Ukifuatlia historia yake google, lugha anazojua na nchi alizofanya kazi (incl Russia na fact kuwa at some point alifundisha Chuo cha Ulinzi marekani) lazima atakuwa Jasusi huyo
 
Kwenye hii video Rais anaonekana akizungumza na Balozi wa Marekani [sina hakika kama ndiye balozi kamili au la].

Rais anazungumza Kiswahili [hakuna ubaya kwenye hilo. Kiswahili nacho ni lugha tu].

Ila, sikuona wala kusikia mkalimani.

Huyo Mama anajua kweli Kiswahili?

Anakijua sana tu na anakizungumza [emoji3].
 
Kwenye hii video Rais anaonekana akizungumza na Balozi wa Marekani [sina hakika kama ndiye balozi kamili au la].

Rais anazungumza Kiswahili [hakuna ubaya kwenye hilo. Kiswahili nacho ni lugha tu].

Ila, sikuona wala kusikia mkalimani.

Huyo Mama anajua kweli Kiswahili?

Americans are probably the dumbest specie of humans when it comes to foreign languages. The best they can speak is "mexican", which most do not even know that it is espanol. They call swahili tanzanian.
 
Hata asipojua haina shida wao pia tukienda kwao wanaongea kizungu kwani sisi tunakijua?
 
Back
Top Bottom