Balozi wa Marekani anajua Kiswahili?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,632
115,488
Kwenye hii video Rais anaonekana akizungumza na Balozi wa Marekani [sina hakika kama ndiye balozi kamili au la].

Rais anazungumza Kiswahili [hakuna ubaya kwenye hilo. Kiswahili nacho ni lugha tu].

Ila, sikuona wala kusikia mkalimani.

Huyo Mama anajua kweli Kiswahili?

Ni kaimu Balozi. Anazungumza lugha ya kiswahili vyema kabisa. Katika makongamano yote hutumia kiswahili.
 
Kwenye hii video Rais anaonekana akizungumza na Balozi wa Marekani [sina hakika kama ndiye balozi kamili au la].

Rais anazungumza Kiswahili [hakuna ubaya kwenye hilo. Kiswahili nacho ni lugha tu].

Ila, sikuona wala kusikia mkalimani.

Huyo Mama anajua kweli Kiswahili?

Kawaida kwa nyuma yake huwa kuna mkalimani. Hili linakuwa hivyo hata wakikutana ofisini, wao wahusika hukaa mbele wakalimani nyuma yao. Naamini hata hapo ilikuwa hivyo hivyo, kwa sababu huyo balozi kiswahili siyo lugha yake ya kwanza huwa anakuwa na mkalimani kwenye official visit kama hizo.
 
Kwenye hii video Rais anaonekana akizungumza na Balozi wa Marekani [sina hakika kama ndiye balozi kamili au la].

Rais anazungumza Kiswahili [hakuna ubaya kwenye hilo. Kiswahili nacho ni lugha tu].

Ila, sikuona wala kusikia mkalimani.

Huyo Mama anajua kweli Kiswahili?

Tena sio cha mchezo mchezo. Nimemshuhudia mara kadhaa anaongea perfect swahili. Ila sio balozi
 
Wageni wakija wanajifunza kiswahili wiki tu washakijuaaaa

Ova
 
Back
Top Bottom