Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Huyu balozi ni mbumbumbu mwenye kiburi na hana hata basic skills za diplomacy.Nilitarajia angeomba radhi
Kama Waziri Mkuu alifanya mazungumzo iweje asitumie platform za serikali?
Hakuna justification yoyote ya kuvunja sheria ! Ina Maana ukarimu wa bibi kizee ndiyo uliomsukuma kuvunja sheria na hata kutamka maneno aliyotamka?
Nadhani sasa huyu achukuliwe hatua kali zaidi.
Tatizo ni nani wa kumchukulia hatua, ninapofikiria kuhusu 2015 naona ni mbali sasa natamani iwe hata kesho watukabidhi watanzania nchi yetu.