KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,551
- 813
Usijali rangi ya paka ilimradi anakula panya, msemo wa Kichina huo.Kuendelea kujadili rangi ya kofia aliyovaa balozi wa China ni ukosefu wa hamu ya kujadili mambo ya maendeleo.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...