Balozi Uingereza anaporusha roho ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Uingereza anaporusha roho ...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babuji, Dec 14, 2008.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Dec 14, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mwanaidi Sinare jana alijimwaga na watanzania wengine kwenye steji kurusha roho wakati bendi ya Jahazi toka Tanzania ilipowapa burudani ya nguvu watanzania waliohudhuria sherehe za miaka 47 ya uhuru wa Tanzania

  [​IMG]

  KWA PICHA KIBAO ZA RUSHA ROHO NA JAHAZI LONDON GONGA HAPA


  NIFAHAMISHE .: PHOTO GALLERY :.
   
 2. B

  Babuji Senior Member

  #2
  Dec 15, 2008
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni viongozi wachache wanaweza kujichanganya kwenye mduara kama mama maajar
   
 3. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2008
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huyu Maina Owino nae vipi?
   
Loading...