mkulima wa kisasa
Member
- Dec 27, 2011
- 11
- 1
Kwani yeye mwenyewe huyu anapunga mapepo? Mkao uliopo hapo ni kama kwa masangoma wa kinaijeria, wageni kwenye viti lkn 'babaa' mwenyewe anakaa kwenye mkeka karibu na tunguli zake
Nakubaliana na wewe hapo ni nyumbani, mazingira yanaonyesha mzee alikuwa ame pumzika, pia amewapa kinywaji bila bilauri halafu alikuwa amechoka na kazi nzito za kusukuma kurudumu( angalia mkono wake)Hapo si ofisini ni nyumbani.
Hapo si ofisini ni nyumbani.
Hapo si ofisini ni nyumbani.
sio nyumbani ni msikitini
Ninapenda hivyo ... tuliishi Egypt wakati wa Utoto wetu tuliporudi Bongo -- Sebule yetu pia ilikuwa na Mkeka na Mito ya kukalia chini
Ilikuwa ni vizuri haswa... another tradition... so kuiga sio kubaya...
* Hata kama ni ofisini kama pako kwa mpango kama hiyo picha kwangu mimi sioni vibaya --- it is a traditional
* Ameishi nje ya Nchi Muda Mrefu na sasa anaona ni bora kuweka Ustaarabu wake sebuleni.... BRAVO!!!