habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Hahahah, njoo shqmbani kwangu unisalimuKulima asili yangu..! Kimbia pm uchukue my # nikusalimie kidogo..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah, njoo shqmbani kwangu unisalimuKulima asili yangu..! Kimbia pm uchukue my # nikusalimie kidogo..!
Hahahaha..! Bado nina hasira na wewe kuninyima papuchi..
Mbunge wa siku nyingi na mwanasiasa nguli nchini Mh Mama Getrude Mongela amesema vijana wa miaka hii wamevunja tamaduni na mila kiasi cha kuibuka kwa wimbi la kubaka,
Zamani ungeonekana kituko ukisikika umebaka huwezi kusikia mtu amebaka kwani wanaume wa zamani walikua na maneno matamu ya kuwaeleza wasichana na kupatana kuliko miaka hii' hali ya miaka hii kwa vijana hawajui kutongoza ndio inapelekea kuwabaka wasichana hivyo ameshauri vijana watumie busara na maneno matamu ili wapatane kuliko kubakana na kupunguza ongezeko la magonjwa na kesi nyingi za ubakaji nchini, hivyo amerejea kauli kwamba vijana waingie darasani wakafundwe kutongoza kwa busara
Utapigwa pisto, Bado unahitaji kuishi, hizo hasira peleka kwa koti ya mafisadi,Hahahaha..! Bado nina hasira na wewe kuninyima papuchi..
Twende chumbani hapa watoto wataona...!Utapigwa pisto, Bado unahitaji kuishi, hizo hasira peleka kwa koti ya mafisadi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo gani kimetumika kuhusisha kutokujua kutongoza na ongezeko la ubakaji?? Vinginevyo huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine wowote.
Na mm yangu ipokee tu hata niwe mchepuko mdogo
unawezo wakukimbia kama ukiingia 18 za mwenyewe?Na mm yangu ipokee tu hata niwe mchepuko mdogo
Usain Bolt hanifikii kwenye hatari naweza kuliruka ata like jengo la China plaza hapo mtaa wa mheza kariakoo