Balozi Mongela atoa onyo kwa vijana ashauri wapelekwe darasa la kutongoza

Njoo nikutongoze ndo utajua wanaume original wapo au la? Maneno tu nakula mzigo bila senti na kesho unarudi mwenyewe
Jibu kitu ukiwa umeelewa sentence sawa usikurupuke tu kujibu Mimi sina haja yakutongozwa wala sihitaji naongea kitu uhalisia zamani Na.sasa tofauti zamani mwanaume pia alikuwa anajiheshimu sasa wapi tena mkikaa kutukana viungo vya mama zenu sijui mnaonaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninakuelewa na ndo maana nataka uone tofauti na usi.generalize, japo kuna tofauti ila si kwa wote, hata wanawake walikuwa zamani, unamtongoza mwanamke mwaka hujawahi kukutana nae kimwili, leo hii mkikaa wote kwenye daladala la gongo la mboto - ubungo ukaanza kuimbisha kufika riverside kashalainika mnateremka hapo unampeleka Kinyaiya house unamaliza, ebu fikiria scenario kama hiyo, kweli kuna wanawake? Ila tunasema sio wote ni baadhi wa hivyo ila wengine bado ni wagumu na wana ukale
 
Sasaivi mwanaume akikufwatilia tu wiki anakata tamaa namatusi juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa siku nyingi na mwanasiasa nguli nchini Mh Mama Getrude Mongela amesema vijana wa miaka hii wamevunja tamaduni na mila kiasi cha kuibuka kwa wimbi la kubaka,

Zamani ungeonekana kituko ukisikika umebaka huwezi kusikia mtu amebaka kwani wanaume wa zamani walikua na maneno matamu ya kuwaeleza wasichana na kupatana kuliko miaka hii' hali ya miaka hii kwa vijana hawajui kutongoza ndio inapelekea kuwabaka wasichana hivyo ameshauri vijana watumie busara na maneno matamu ili wapatane kuliko kubakana na kupunguza ongezeko la magonjwa na kesi nyingi za ubakaji nchini, hivyo amerejea kauli kwamba vijana waingie darasani wakafundwe kutongoza kwa busara

Huyu mama muongo au anazeeka vibaya,zamani kulikuwa na ndoa za lazima binti anabebwa na viboko juu,wazazi wakitongozea watoto wao hadi kuwafungulia njia,huko kutongoza ni kupi anakikuzungumzia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom