Balozi Mongela atoa onyo kwa vijana ashauri wapelekwe darasa la kutongoza



Mbunge wa siku nyingi na mwanasiasa nguli nchini Mh Mama Getrude Mongela amesema vijana wa miaka hii wamevunja tamaduni na mila kiasi cha kuibuka kwa wimbi la kubaka,

Zamani ungeonekana kituko ukisikika umebaka huwezi kusikia mtu amebaka kwani wanaume wa zamani walikua na maneno matamu ya kuwaeleza wasichana na kupatana kuliko miaka hii' hali ya miaka hii kwa vijana hawajui kutongoza ndio inapelekea kuwabaka wasichana hivyo ameshauri vijana watumie busara na maneno matamu ili wapatane kuliko kubakana na kupunguza ongezeko la magonjwa na kesi nyingi za ubakaji nchini, hivyo amerejea kauli kwamba vijana waingie darasani wakafundwe kutongoza kwa busara

Anaonekana enzi zake alikuwa kicheche balaa.
 
Screenshot_2017-09-08-17-47-18-133.jpeg



[HASHTAG]#GetWellsoonTunduLissu[/HASHTAG]
 
sio kweli, mama Hugo hafaham chochote kuhusu tongoza, kinacho waumiza wanaume ski tongoza, Bali wanawake WA sasa wanataka pesa zaidi, hawataki Maneno mengi* he kama hauna pesa wewe kijana maanayake utaishia kumaliza sabuni tu, Nimateso kwa kweli* shida sio tongoza, shida wanawake wanajiuza tena ghali sana, ndio kinachofanya wabakwe hao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom