Shivji kasema inaitwa Rex AttorneysMoja ya Jambo la kushangaza ni kitendo cha kusahau mara kwa Mara, na hii inapelekea mara nyingi serikali kufanya maamuzi ambayo huligharimu taifa.
Tunaweza kusema labda hizi ni zama mpya, lakini zikiwa na watu walewale tena waliofanya madudu basi shaka na wasiwasi vitazidi kuongezeka. Ni kweli hatuna watu wapya?
Balozi Maajar kateuliwa ujumbe bodi ya Tanesco ila wamesahau yaliyotokea kati ya Tanesco na Dowans. Ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya tu.
Balozi Maajar akiwa mwanasheria kupitia ile kampuni yao ya Sheria ndio alihusika na kushauri serikali kuhusu sheria ya madini.
Hapo hapo kupitia ile kampuni yao(sitaitaja wengi mnaikumbuka tu) akawa wakili wa kampuni za madini.
Akaja kuishauri Benki moja kuwa Dowans ni kampuni inayoaminika wapewe mkopo kufanya kazi na Tanesco.
Baadae akaja kuishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans kwamba ni kampuni tata.
Kilichofata akalipwa pesa kwenda kuitetea Tanesco na kushindwa.
Kifupi alikuwa akishirikiana na hizo kampuni ku....... Uhuru wa maoni bado sina hakika kama umerudi.
Ila yote haya Mh.Zitto anayajua, nimeshangaa kuona akipongeza uteuzi wa bodi ikiwa anajua Kuna mtu yumo humo na alihusika pakubwa kwenye kesi ya Tanesco na Dowans.
Anyway................ngoja tusubiri.