Balotelli

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,221
532293_202380153224965_1122062226_n.jpg
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssss!!!!M4C daima!!!
 
Safi sana Chadema.Ukombozi ndo sasa wafikieni wananchi kila kona ya Tanzania ili 2015 iwe kazi ya kukamilisha tu safari ya kuingia ikulu.Mungu azidi kuwa nanyi wanachadema wote na watanzania wapenda maendeleo
 
539782_10150906933292000_1954244808_n.jpg
PRODUCTION OF TITANIC: James Cameron aliona n vyema kabla hajatengeneza movie ya titanic kwanza aende chini akaiangalie jinsi ilivyo li asijetoa kitu ambacho hakipo...hii ilimfanya awe makini sana katika utengenezaji wa film
 
baadhi ya Camera alizotumia James Cameron
sc003.jpg
 
Mkuu,

Hapa umetufunga kamba nzito sana.

Hicho chombo unachoona ni kuwa alienda chini ya bahari na kuangalia tu jinsi kulivyo kama MTALII. Alipiga picha huko na kuja nazo juu ya maji. Si kuwa alikwenda kuangalia tena TITANIC.

Tofauti ya TITANIC hii ya 3D na ile ya mwanzo ya 2D ni jinsi nyota zinavyoonekana. Hili tulishalijadili hapa siku nyingi.

Kuna Brother mmoja alimkalia sana koo huyu Director na mwisho, kwa sababu Mpingo alikuwa akifanya kazi NASA, basi James Cameron akamuambia "Hebu nipatie muonekano wa nyota, tarehe, siku, mwaka, saa na dakika katika lile eneo haswaa ambapo TITANIC ilizama".

Hicho ndicho kitu pekee kimebadilika. Pia ukiangalia hiyo CAMERA ina Lenzi mbili ikimaanisha inapiga picha za 3D.



Hapo anampa kibano cha nguvu maana kama ulivyosema, James Cameron anapenda sana Detail, sasa ilikuwaje akasahau jinsi ANGA siku hiyo ilivyokuwa ikionekana?
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom