Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,492
atakaye bisha huu ukweli yeye ni jipu.Ronaldo ni mchezaji bora duniani lakini huyu Messi yeye ni wa sayari nyingine. ACHEN KUMLINGANISHA MESSI NA MAMBO YA KIJINGAJINGA.
Wanatafuta mchezaji bora wa dunia na sio mchezaji bora wa sayari nyingine.Ronaldo ni mchezaji bora duniani lakini huyu Messi yeye ni wa sayari nyingine. ACHEN KUMLINGANISHA MESSI NA MAMBO YA KIJINGAJINGA.
Akichukuliwa au akichukua?Msimu 2015-2016 umekuwa mzuri kwa CR7 huku akichukua makombe muhimu ya klabu na nchi.
Huna akiliRonaldo ni mchezaji bora duniani lakini huyu Messi yeye ni wa sayari nyingine. ACHEN KUMLINGANISHA MESSI NA MAMBO YA KIJINGAJINGA.
Akil ipi unayoisema mkuu?Huna akili
Antoine Griezmann
NimechejeWanatafuta mchezaji bora wa dunia na sio mchezaji bora wa sayari nyingine.