Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,387
3,454
Mshindi wa tuzo ya Mchezaji bora wa mwaka 2016 kujulikana leo huko Paris nchini Ufaransa.

Je, ni nani ataondoka na tuzo kati ya Lionel Messi, Cristiano Ronaldo au Antoine Griezmann.

Tuzo za mwaka huu wapigaji kura ni waandishi wa habari na sio Makepteni wala Makocha wa timu za Taifa, hivyo yoyote kati ya hao watatu anaweza akaibuka na ushindi wa tuzo hiyo.

Sherehe zinaanza saa 1 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, karibuni kwa mjadala kuelekea kwenye tuzo hiyo.

Nafasi yangu nampa Cristiano Ronaldo.

-----------------
_92943218_ronaldo.jpg




1.Ronaldo.
2.Messi.
3.Greinzman.
4.Suarez.
5.Neymer.
6.Bale.
7.Mahrez
8.Vardy.
9.Pepe &Bufon.
11.Abubameyan.
12.Rui Patricio.
13.Ibramovic.
14.Pogba & Vidal.
16.Robert Lendowisk.
17. Luka Modric & Tony Cruz
19.Payet.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom