Jibu limekuwa el maginificoWanatafuta mchezaji bora wa dunia na sio mchezaji bora wa sayari nyingine.
Hizo tuzo za sayar nyingine zinatolewa sayar gani na ni lini tuhudhurieRonaldo ni mchezaji bora duniani lakini huyu Messi yeye ni wa sayari nyingine. ACHEN KUMLINGANISHA MESSI NA MAMBO YA KIJINGAJINGA.
TFFMchezaji bora kujulikana januari, hzi za leo nani anatoa
Ya Januar ni Fifa player of the year na ya leo ni Ballon d'OrMchezaji bora kujulikana januari, hzi za leo nani anatoa
Ongea kiswahili...Nimecheje
Fifa ndio wanatoa ballon d'or leoYa Januar ni Fifa player of the year na ya leo ni Ballon d'Or
Umetumia vigezo gani mkuuRonaldo ni mchezaji bora duniani lakini huyu Messi yeye ni wa sayari nyingine. ACHEN KUMLINGANISHA MESSI NA MAMBO YA KIJINGAJINGA.
Point sana mkuuWanatafuta mchezaji bora wa dunia na sio mchezaji bora wa sayari nyingine.
bado tuuu jamani?
Endelea Mkuu.Wanataja countdown ya wachezaji kuanzia no 16
16.Robert Lewandowski
14.Paul Pogba
14.Artulo Vidal
13.Zlatan Ibrahimovic
12.Rui Patricio
11.Pierre Emerick Aubemeyang
Kama hujui kitu bora kukaa kimyaFifa ndio wanatoa ballon d'or leo