Ballistic EX

Status
Not open for further replies.
Mbona kama hujamove on ? Umeolewa ? Una familia yako ?

Mahusiano mengine just kupata uzoefu tu, sio lazima mfikie malengo /ndoa !"

Pole , live your life
 
Wazazi wako hasa mama yako ni mpuuzi sana.
Alikuwa akijua kabisa kwamba unamfunulia ama unaweka jitihada za dhati za kumfunulia huyo kijana yohana 3 ili asome halafu bado akaendelea kukupeleka chuo,mimi ungeli jipeleka mwenyewe na hutakiwi kunishirikisha kwa chochote maana umeshakua mkubwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ushaambukizwa gonjwa la kuacha wenzio....type yako unaikimbia kisa mpelelez ila wakina marry unawang'ang'aniaπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
🀣🀣🀣 mishazi ya buza kama Marry haina baya, yenyewe ni ije geto na kijola upige shoo ya nguvu baass.. haina mambo mengi.
 
Huu muandiko sio mgeni hapa jamvini,
Nweiii poleee sana, Move on!
 
Huu uandishi wa uzi kwa mara kwanza nimeuona leo kwa Tajiri Sina BAYA ,nashangaa tena mwingine anakuja ki hiv ,are they the same person???

Anyways, nimeipenda hiyo BALLISTIC EX πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipo hapa mkuu, kwenye ule uzi niliamua picha tu ndiyo ziongee sikufunguka sana, huu uandishi upo kitambo tu, mimi kama sijauona FB basi ni hapa jf ila ni muda mrefu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…