MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,476
- 53,335
- Thread starter
- #21
Hazina uwezo wa kuua kwa namna hiyo. Na warusi nao hawajikushanyi maeneo ya vita kama walio harusini. Himaris zinatumia marisasi ya 155mm ambayo hata kama litatua sehemu walipo warusi 200 basi litau wachache,wengine watajeruhiwa na wengine wataendelea na shughuli zao.
Tena ilipaswa wafe zaidi ya hapo, inabidi Ukraine waongeze HIMARS zaidi, sababu za Warusi kufa wengi ni kwa vile wako kwenye nchi ya watu.
Soma historia namna Marekani walikufa Vietnam, ni vigumu sana kwenda kuua watu kwenye nchi yao, milima yao, mito yao, vichaka vyao... Ni ujinga.
