knows
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,453
- 2,239
- Thread starter
- #101
Wala hakuna balaa hapo, kwani ni ajabu mwanamke kushika mimba anapoingiliwa? Ajabu ni huyo rafiki yako mzinzi kushangazwa na mimba kuingia. Hayo ni maavuni ya mwanzo ya uzinzi, lakini bado kwenye familia yake pale mke atakapobaini hilo, life will never be the same again.
Mithali 6:
Proverbs
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
32 Whoever commits adultery with a woman lacks understanding; He who does so destroys his own soul.
Nchi 6 hiyo mzee [emoji375]