Mwambie asipaniki.Habar wana JF.
Natumaini wazima?
Niende kwenye mada bila kupoteza muda.
Leo bhana mida ya mchana nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana ambaye huwa tunashirikiana mambo mengi mbalimbali. Akaniambia ana maongezi na mimi muhimu sana, nikamwambia sawa hakuna shida ila nipo kazini na yeye akasema yupo kazini, ila akitoka kazini kwake atakuja tuonane nikamwambia sawa.
Basi mida ya jioni hivi kwenye saa 11 akanipigia, nikamwambia bado nipo ofisini kuna kazi naimalizia ila unaweza kuja, akasema sawa nakuja. Basi hapo kweli baada ya muda akafika kazini kwangu nikampokea kwakuwa muda wa kazi ulishaisha na wafanyakazi walishaondoka mimi ndiyo nilibakia namalizia kazi zangu. Nikamkaribisha tukae tuongee anieleze nini shida.
Ndiyo akaanza kunieleza, kiukweli jamaa yangu huyu ana mazito na kipengele kigumu sana. Ishu ni kwamba kwanza yuko na mchumba ambaye tunamjua na washa posana kila kitu bado kuona tu karibuni. Sasa shida jamaa alikuwa na mchepuko ambaye anatoka naye ukiachana na mchumba wake. Sasa kilichotokea kwa bahati mbaya mchepuko kashika mimba na baada ya kuelezwa jamaa kamchukua kaenda naye hospital kumpima, majibu imekuja positive kitu kimenasa.
Sasa jamaa kachanganyikiwa vibaya mno, kiukweli hayuko sawa mpaka namuonea huruma. Yuko overstressed na nimejaribu sana kumtuliza lakini bado hayuko sawa na haelewi afanye nini. Kila achokifanya anaona hakiendi, kwa mtu asiyejua hili ukikaanae anazuga tu yuko fine lakin kiuhalisia hayuko sawa.
Wakuu tushauriane mawazo tujue tunamsaidije kijana mwenzetu kwa ushauri tu.
Mungu awabarki karibuni sana [emoji120]
Acha huu ushauri mkuu.Watu acheni comment za kinafiki . Sikiliza mwambie huyo jamaa yako sijui wewe atafute MISO kwisha habari au vinginevyo achague moja kuvunja uchumba na huyo mchumba wake abaki na side chick au ajinyonge huyo rafiki yako. Inshu ndogo kama hiyo anachanganyikiwa nini
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kumbe mama J yuko sahihi wacha akuvuruge atakavyo hamnaga jema kwa michepuko.Sioni Tatizo,
Wanaume wengi tu wamezaa kabla ya kuoa rasmi, hicho Ni kipimo Cha Upendo wa fiance wake kwake.
Kama kweli fiance anahitaji ndoa na jamaa,kamwe hatayumbishwa na Hilo.
Cha muhimu jamaa asionyeshe unyonge, fiance atampanda kichwani.
Asimamie kwamba kaamua kumuoa yeye na sio uyo side chick, Kama hawez aachie ngazi side chick avishwe shella.
Mwanaume msimamo bhana[emoji4]
Huu ni upuuzi na kutengeneza watoto wasio na babaSioni Tatizo,
Wanaume wengi tu wamezaa kabla ya kuoa rasmi, hicho Ni kipimo Cha Upendo wa fiance wake kwake.
Kama kweli fiance anahitaji ndoa na jamaa,kamwe hatayumbishwa na Hilo.
Cha muhimu jamaa asionyeshe unyonge, fiance atampanda kichwani.
Asimamie kwamba kaamua kumuoa yeye na sio uyo side chick, Kama hawez aachie ngazi side chick avishwe shella.
Mwanaume msimamo bhana[emoji4]
Upuuzi kujisifia jinsi usivyolea wanaoHakuna balaa lolote hapo jamaa amuoe huyo mchumba wake kimyakimya mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele mbona mimi nina mchumba na ndoa mwakani nimepiga mimba watu wawili na mmoja ni mke wa mtu na niko poa tu nimekula mikausho mikali.
Wakianza kuimba nani kama mama mkae kwa kutuliaHakuna balaa lolote hapo jamaa amuoe huyo mchumba wake kimyakimya mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele mbona mimi nina mchumba na ndoa mwakani nimepiga mimba watu wawili na mmoja ni mke wa mtu na niko poa tu nimekula mikausho mikali.
Hata mimi sioni cha kukufanya mwanaume uwe mnyonge juu ya hilo.Au anamtegemea kiuchumi huyo anaye taka kumuoa?Sioni Tatizo,
Wanaume wengi tu wamezaa kabla ya kuoa rasmi, hicho Ni kipimo Cha Upendo wa fiance wake kwake.
Kama kweli fiance anahitaji ndoa na jamaa,kamwe hatayumbishwa na Hilo.
Cha muhimu jamaa asionyeshe unyonge, fiance atampanda kichwani.
Asimamie kwamba kaamua kumuoa yeye na sio uyo side chick, Kama hawez aachie ngazi side chick avishwe shella.
Mwanaume msimamo bhana[emoji4]
Mi pia nmeshangaa mnoo..jambo dogo kama hiloYaani demu anapata mimba halafu mchizi anachanganyikiwa kiasi kwamba inabidi atulizwe?? Heheheh huyo muhuni anafeli sana.
Hakuna hukumu ya hivi.Huu ni upuuzi na kutengeneza watoto wasio na baba
Mtahukumiwa
Wanawake mpo wengi, wanaume tupo wachache..wacha tuwabalance.Huu ni upuuzi na kutengeneza watoto wasio na baba
Mtahukumiwa
Roho mbaya TU unanionea[emoji4]Kumbe mama j yuko sahihi wacha akuvuruge atakavyo hamnaga jema kwa michepuko.
Mtoto haiwezi kua tiketi ya moja kwa Moja kuolewa,Huu ni upuuzi na kutengeneza watoto wasio na baba
Mtahukumiwa