Balaa la watoto!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Kuishi na watoto kazi!!!!
 

Attachments

  • 34377_405620559835_731244835_4186088_6444413_n.jpg
    34377_405620559835_731244835_4186088_6444413_n.jpg
    52.2 KB · Views: 229
Hahaaa! Hii kali. Watoto bana, hawana makuu. Kwao kila kitu ni halali yao tu.
 
hahahaha hapo mama unaingia ndani hasira karibia kifua kinapasuka ...baadae inabidi ucheke ..
 
kama wangekuwa ni watoto wa kiswahili wangetandikwa hadi wangejuuta.
 
Mzazi ukifika wanakuuliza..Tumependeza eeh?
..acha kabisa kuna siku nilikuta kabinti kangu ka mwaka 1 na miezi 3 kamejifungia kwenye friji mungu saidia hakakuonea kwenye friji vimiguu vimetokeza nje ilibidi tuangue kicheko cha mwaka!! lakini hivi vijamaa huwa vinafurahisha sana!!!:pound::pound::pound:
 
Back
Top Bottom