Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
- Thread starter
- #21
Poor drainage system! Dar es salaam ni kati ya miji ya hovyo kabisa duniani kwa mipango miji.Hii adha ya maji kutuama mara tu mvua kidogo inaponyesha haitaweza kuisha kwa mpangilio wa jiji hili ulivyo! Baada ya kuisha mradi wa mabasi yaendayo kasi, inabidi waanzishe na mradi wa boti ziendazo kasi kipindi cha mvua ili watu waweze kutoka na kuingia kwenye miji yao!
ni kweli kabisa, lkn hata majuu hutokea, na ikitokea kama ya majuu hapa itakua soo