Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,670
- 3,271
Hakuna mwenye mwendelezo wa hii taarifa?
Kuna mwingine adai KIFO NI KIFO TU.Kwa maana nyingine, hawasikitishwi na vifo vya wanyonge.
Kweli Beibi wangu nina kibarua kigumu cha kukulea, Kesho natengeneza ID nyingine wewe endelea na kujilisha upepo wa kuwa mumeo joined 2023, yaliyako mimi ni mumeo kitambo tu ooooh aya.Joined 2023, unataka kutukana wazee wa jf nimekupuuza bure kiddo
Heshima yangu humu jf ni kubwa huwa sigombani na vichaa, nashangaa moderator wanakulea sana sijui umewapa nini.Kweli Beibi wangu nina kibarua kigumu cha kukulea, Kesho natengeneza ID nyingine wewe endelea na kujilisha upepo wa kuwa mumeo joined 2023, yaliyako mimi ni mumeo kitambo tu ooooh aya.
Mbunge yupORoad Accident is about Man made
Pole Sana .
Serikali imelala Sana hiyo barabara inahitaji kuwekwa sawa.
Hizo mbeya marathon kwanini msiachane nazo mkajenga barabara
Mungu wangu😭😭😭Kulikoni? Naambiwa Huko Iwambi Mbeya kuna ajali kubwa. Pigia simu ndugu ya jamaa..
Sijajua zaidi hadi sasa sababu ni taharuki tupu..
Tusubiri Polisi waseme
View attachment 3360062
Ajali ya kitu gani? Naona pamoja na baridi watu vifua wazi!Kulikoni? Naambiwa Huko Iwambi Mbeya kuna ajali kubwa. Pigia simu ndugu ya jamaa..
Sijajua zaidi hadi sasa sababu ni taharuki tupu..
Tusubiri Polisi waseme
View attachment 3360062
Shida pale hakuna wapiga kura.Hakuna namna serikali itoe tu kibunda Cha maana barabara ya maana itengenezwe pale,yani hata ukiona gari imefeli inakufwata pale hakuna utakapokimbilia
Nani, Rango?Hivi huko mbeya sindio anatokea spika wa bunge la nchi hii?
Kweli maana wata boresha barabaraNRNE itazuia mpaka hizi ajali
😂😂😂gwaji biyIle iwambi imekaa vibaya sana..... serikali ifanye jambo pale sio mpaka tusubirie apate ajali yule kijana AUBUDULI......hata sisi wanyonge tunapenda kuishi
Nyie si mnapita na msafara na mnakuta kweupe Sisi wanyonge tunaongozana na maroli ambayo wakati mwingine yanafeli breki na kuleta maafa
Kwani wakati wa magufuli na waliomtangulia hawakuliona Hilo eneo?Ile iwambi imekaa vibaya sana..... serikali ifanye jambo pale sio mpaka tusubirie apate ajali yule kijana AUBUDULI......hata sisi wanyonge tunapenda kuishi
Nyie si mnapita na msafara na mnakuta kweupe Sisi wanyonge tunaongozana na maroli ambayo wakati mwingine yanafeli breki na kuleta maafa
Tunaongelea ya sasa ili yafanyike yanayowezekana sasa.....hata tukichambua ya Magufuli kwa sasa hayana tijaKwani wakati wa magufuli na waliomtangulia hawakuliona Hilo eneo?