Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Mheshimiwa mwenyekiti naomba uwakilishi wa Waislam katika mkutano huu uongezeke... tukitizama uhalisia, idadi ya Waislam na Wakristo haitofautiani sana, lakini ndani ya mkutano huu Waislam tupo 15 wakati wenzetu wapo zaidi ya 40! ...Nasema hivi kwa sababu na sisi Waislam tunayo Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu ambazo hazipo BAKWATA nao wana waumini wao na ninyi mlivyotuletea mwaliko mmeweka idadi ya viongozi 15 tu, sasa kwa mantiki hii lengo lenu kwa upande wetu halitatimia, alisema Sheikh Lolila.
Hawana hoja kazi kutafuta conflicts zisizo na msingi, idadi ya wajumbe inahusiana nini na michango ya mawazo kwani wanakwenda kupiga kura, kama wana hoja za nguvu hata wajumbe wawili wanatosha kuwakilisha kwa vile hazimnamo wanafikiri uwingi wa wajumbe ndiyo hoja, hovyooo.
Mkutano ulioitishwa na ofisi ya waziri mkuu kati yake kwa niaba ya serikali na viongozi wa dini uliingia dosari hapo jana na kushindwa kuendelea baada ya ujumbe wa waislamu uliowashirikisha Bakwata tu kutilia shaka mwaliko huo.
"Mheshimiwa mwenyekiti naomba uwakilishi wa Waislam katika mkutano huu uongezeke... tukitizama uhalisia, idadi ya Waislam na Wakristo haitofautiani sana, lakini ndani ya mkutano huu Waislam tupo 15 wakati wenzetu wapo zaidi ya 40! "...Nasema hivi kwa sababu na sisi Waislam tunayo Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu ambazo hazipo BAKWATA nao wana waumini wao na ninyi mlivyotuletea mwaliko mmeweka idadi ya viongozi 15 tu, sasa kwa mantiki hii lengo lenu kwa upande wetu halitatimia," alisema Sheikh Lolila.
Huu ni upendeleo wa wazi ambao hata hao waliokuwa wakipendelewa ili kujenga tabaka wameshtuka.
Hawana hoja kazi kutafuta conflicts zisizo na msingi, idadi ya wajumbe inahusiana nini na michango ya mawazo kwani wanakwenda kupiga kura, kama wana hoja za nguvu hata wajumbe wawili wanatosha kuwakilisha kwa vile hazimnamo wanafikiri uwingi wa wajumbe ndiyo hoja, hovyooo.
inferiority complex tu
Suala hapa sio idadi ya watu ni uwiano wa uwakilishi! ukiangalia idadi ya wakristo walioalikwa ni wazi walizingalitia uwakilishi wa kila dhehebu, lakini kwa idadi hiyo ya ndugu zetu waislamu ni wazi kabisa walioitisha huo mkutano hawakuzingatia uwakilishi wa madhehebu, na hili ndio tatizo mara nyingi watu hufikiri kuwa uislam ni dhehebu moja tu!
Point mkuu. kila kukicha matabaka yanadhihirika na hali inazidi kuwa mbaya. Tunakoelekea uongozi pia utatokana na imani zetu za kutaka kujenga uwiano na si uwezo. Hii itakwenda mpaka kwenye ajira. sidhani kama Tanzania tutavuka karne ya 21 salama.I know people with so called strong faith are going to come at me for saying this but I strongly believe this. We are a nation of religious, tribal and ethnic diversity but we have one uniting factor which is being Tanzanian. It is time we saw each other as Tanzanians first and every individual can hold on to their faiths within their own hearts instead of imposing it on others. We fail to find great leaders because we narrow our options with trying to find balance. We fail to talk about facts and reality because we want to be politically correct. We are afraid to speak the truth because we know there is a group which won't listen to the truth but rather rally blindly behind faiths imposed to us by the same people who saw it necessary to divide us in order to conquer us. It is time we learned to be Tanzanians instead of Christian or Muslim, Tanganyikan or Zanzibari, Chaga or Sambaa, north, south, west or east. At the end of the day we are all just Tanzanians. As soon as we learn this then we can prosper as a people.
Kweli kabisa, bora waamuke wapinge kuendelea kupendelewa. Dhehebu moja lataka liwakilishwe kama multiple?!, well: agenda ilikuwa nini.Hongereni bakwa kwa kuamka kutoka usingini, tena usingizi mzito.
abdul bidup you are atrue greatest thinkerAbdul halim na Mwanafalsafa nipo mobile nimetafuta kitufe cha Thanks sikioni. But ur the one amongst the true greatthinkers. Positive thinking. Make others understand what is it to think big. Think as a nation not as certain group 1st.