Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,689
hiyo ni kweli mkuu!Soon usishangae pia tamko la wakristo kupitia CCT, PCT, RC au Sabato wakimuonya pia Makonda uache kuropoka!!
Siku zote mgombea urais wa CCM ni lazima atokee kwenye milango ya Kanisa au Misikiti.
Alifanya Kikwete na atafanya pia Lowassa, Membe au Sitta nk.
Huwezi kuitenganisha CCM na Udini.
Manvi ni kitu ingine kabisa
Makanisani yupo
Misikitini yupo
kwa bodoboda yupo
Ukicheka na Nyani utavuna Mabua.Natamani nijue Makonda alisema nini kuhusu Uislamu.
Ila inaonyesha Lowassa ameshajioteshea mizizi kwenye maeneo na taasisi nyingi tayari.
Kama sheikh wa mkoa wa Dar anasema Makonda aache kuwachagulia Waislamu marafiki, hii kauli ni nzito na very positive kwa Lowasa.
Napata kiwewe zaidi kuona jinsi jina la huyu mamvi linavyovuma na kutetewa na watu wasiotegemewa.
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dsm leo amezungumza na waandishi wa habari na kukemea kitendo cha Paul Makonda kutumika na kuwahusisha viongozi wa kiislamu na harakati za Lowassa kwenda Ikulu
Sheikh mkuu amesema wao kama Waislamu hawawezi kuchaguliwa marafiki,wala mtu wa kushiirikiana nae ktk misaada ya kuujenga uislamu na taasisi zake.Amemuonya Makonda kuacha kutumika na kuharibu sifa za viongozzi wa kidini.
Sheikh mkuu ameendelea kusema kuwa Makonda hana amri wala dhamana ya kuwachagulia BAKWATA na Waislamu mtu wa kuwa nae,amesema Makonda aseme ni lini na wapi viongozi wa dini walitumika kwa uislamu wao kupiga kampeni.za Lowassa kwenda Ikulu
NB;% Mzee mamvi jamani anatisha sana,kasi yake ni ya hatari...kakaba kila kona