Kwahiyo leo mapumziko?
Fanya kazi wewe, sikukuu ya kazi gani ?Bakwata najua mnapita humu,tunaomba tujue sikukuu ya maulidi itakua siku gani?
Wewe ukifanya inatosha mkuu.Fanya kazi wewe, sikukuu ya kazi gani ?
Nimetania..Kwahiyo leo mapumziko?
Nimetania..Kwahiyo leo mapumziko?
Hata wewe unahitajika mkuuWewe ukifanya inatosha mkuu.
Bakwata najua mnapita humu,tunaomba tujue sikukuu ya maulidi itakua siku l
leo ni mkesha kesho mapumzikoBakwata najua mnapita humu,tunaomba tujue sikukuu ya maulidi itakua siku gani?
Mbona kuna TEC, kuna CCT n.kHivi Kuna watu wanakitegemea hicho Chama Cha siasa Chenye koti la kiroho ....dah
Bakwata wamezidi mkuuMbona kuna TEC, kuna CCT n.k
😂😂😂😂😂😂nyie jamani😂😂😂Fanya kazi wewe, sikukuu ya kazi gani ?
Tec haijawahi kusema Pasaka au Noeli ni liniMbona kuna TEC, kuna CCT n.k
OhooMsikitini ijumaa hajatangaza?