Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Hivi huwa ni siku 2 eeeenh, kwahiyo ikiwa alhamisi tutakutana kazini jtatu kutokea jumatano ya tar 12Bora iwe alhamisi
Unapenda kulala sana eeh.... ndo maana uncle alipata tabu sana. Watu kuwa wavivu na kupenda starehe sisizo na kikomo... fanyeni kazi... fanyeni kazi kwa bidii ili msisubiria kufunguliwa kama kuku kwa ajili ya kupumzika kama kuku...Bora iwe alhamisi
Fanya haraka shekh, swaumu zimekaba huku. Duh!